अप्प बोरा क्वा कुजिफुनजा उफुगाजी वा वनामा कीतालमु, ushauri mzuri वा वटलमु
Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora
Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe
Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama
Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania
Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz