Use APKPure App
Get Tiba old version APK for Android
Ni app inayokupa mafundisho kuhusu kuondoa matatizo ya mabalaa mbalimbali
Kuhusu Application
Katika application yetu utapata kujifunza jinsi ya kujitibu kwa kutumia mimea asilia , qur-an tukufu n.k , pia utapata kujua matatizo yanayomzunguka mwanadamu ya kishetani, majini ,uchawi na jinsi ya kuepukana nayo ili uishi kwa amani na maendeleo bila ya kupata mushkeri katika maisha ya kila siku.
Katika app hii kuna:-
✔ matibabu ya maradhi
✔ matumizi ya mimea asilia katika matibabu
✔ matumizi ya Qur-an tukufu katika matibabu
✔ Aina za uchawi na jinsi ya kuziepuka
✔Video za tiba (zinahusu matibabu ya maradhi ya mbalimbali yanayosababishwa na wachawi)
Mkusanyaji wa taarifia hizi:-
Taarifa zote katika app hii ni za ukweli na zimeandaliwa na Maalim/shekh/Doctor Suleiman S Ngusura anayepatikana katika ofisi zake Jijini Dar es salaam ,Tanzania
kama hujaelewa chochote au unamashaka yoyote usisite kuwasiliana na maalimu kwa mawasiliano yanayopatikana ndani ya application hii kupitia SMS,Whatsapp, au kumpgia simu na kuongea nae muda na wakati wowote. au unaweza ukamtumia barua pepe kupia anuani hii:-
SULEIMAN SALIM NGUSURA,
P . O. BOX 13587,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
Last updated on Sep 29, 2018
We've set our privacy policy
द्वारा डाली गई
Fandaodehnal Fandaodehnal
Android ज़रूरी है
Android 4.0+
श्रेणी
रिपोर्ट
Tiba
Mimea na Quran1.0.3 by Vidfone
Sep 29, 2018