Njoni tumwimbie Bwana मुडा Wote na Wakati wowote
Kuimba na kusifu kumekuwa nguzo kuu katika kumwabudu BWANA, jiunge nasi kupitia app hii kupata nyimbo za kumwabudu bwana.
* Utaweza kuhifadhi nyimbo uzipendazo wakati wowote hata kama itatokea umebadili simu yako.
* Utaweza kujumuika na wenzako katika mitandao ya kijamii au katika njia ya kawaida.