Use APKPure App
Get Teddy App old version APK for Android
Tunakuletea Simulizi,habari, ,uwanja wa wanawake na ujasiliamali
Download app hii ili uweze kupata Riwaya mbalimbali ikiwemo upelelezi, mapenzi, chombezo na zile za mapigano .
Pia utaweza kupata habari za michezo hapa anamanisha kabubu kutoka Tanzania, Africa na nchi za ng'ambo, maisha ya wachezaji.
Utajifunza pia ujasiliamali kwa wewe mpenda maendeleo humu utajua kujiajili mwenyewe kwa mtaji mdogo tu,utafahamu kilimo cha matikiti mwanzo mwisho,ufugaji wa kuku na utegenezaji wa viwanda vidogovidogo nyumbani kwako mfano elimu ya kutengeneza mshumaa,mapambo ya nyumbani na n.k
Wanawake nao hamjasahaulika humu mtaweza kujifunza jinsi ya kuwa wabunifu kwa kutumia vipaji vyenu, ususi, aina za mavazi na wapi yanatakiwa yavaliwe, kurefusha nywele na usafi wa mwili wako.
Kwa vijana wanaokwenda na wakati hapa nawasemea j wanaume fashion zenu ziko.
Tutaingia ndani kwa kutumia jicho la tatu ambalo litatupeleka na kuona maisha ya wasanii wote unaowafahamu, historia zao na wapi walianzia familia zao na hata maswala ya kimapenzi nani anatoka na nani na huyu anatoka na nani?
Mahusiano sote tutajifunza namna ya kuishi na wapenzi zetu na lugha ipi inafaa.
Android ज़रूरी है
4.0 and up
श्रेणी
रिपोर्ट
Last updated on Jan 14, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Teddy App
1.0.2 by developict
Jan 14, 2017